UNIVERSITY OF PENNSYLVANIA - AFRICAN STUDIES CENTER
Using Swahili in SCAA Posts

Using Swahili in SCAA Posts

Watu zaidi wanatumia Kiswahili wavuni. Kuna sentenzi zaidi tunazoweza kutumia: More people are using Swahili on the net. Here are more phrases we can use:

 
BEGINNINGS
Ndugu Osei (Brother Osei)
Dada Maya (Sister Maya)
Salaam nyingi (many greetings)
Pokea salaam nyingi (receive many greetings)
Pokea salaam nyingi kwangu (receive many greetings from my place)
Pokea salaam nyingi kwetu (receive many greetings from our place)
Asante sana kwa kuniandika (Thanks much for writing me)
Nimepata barua yako (I got your letter)
Nimepata barua yako na ilinifurahisha sana (I got your letter and it made me happy.
Nimesoma ujumbe wako (I have read your post)
Nakubali (I agree with you)
Sikubali (I disagree with you)
 
ENDINGS
Sina mengine (I don't have anything else {to say})
Wasalamia wote (greet everyone)
Wasalamia wote huko nyumbani (greet everyone there at home)
Msalamia Juma (greet Juma)
Ndiye mimi (Its truly me)
Kwa dhati (sincerely)
Wako (yours)
Wako katika mapambano (yours in the struggle)
Ni mimi (its me)
Wako mtiifu (your faithful servant)
Mapambano yanaendela (the struggle continues)
Tutashinda bila shaka (we shall overcome without a doubt)


From: Kwame Bandele 
Subject: Using Swahili in SCAA posts
Date: Sat, 17 Sep 94 11:43:34 -0500
Message-ID: 


Editor: Ali B. Ali-Dinar
Previous Menu Home Page What's New Search Country Specific